Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,534 Reaction score 5,342 Oct 9, 2013 #21 Uneni mauzauza ya Kakobe https://www.jamiiforums.com/habari-...-ameanza-uchunguz-umeme-132kv-kwa-kakobe.html
Uneni mauzauza ya Kakobe https://www.jamiiforums.com/habari-...-ameanza-uchunguz-umeme-132kv-kwa-kakobe.html
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,845 Reaction score 168,123 Oct 9, 2013 Thread starter #22 jamani kweli nimeamini ujuzi hauzeeki
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,140 May 17, 2018 #23 Bujibuji said: jamani kweli nimeamini ujuzi hauzeeki Click to expand... Huyu bibi bado anaishi?
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,845 Reaction score 168,123 May 17, 2018 Thread starter #24 Safari_ni_Safari said: Huyu bibi bado anaishi? Click to expand... Nimeondoka Mtwara siku nyingi kidogo lakini akifa Tanzania itatikisika
Safari_ni_Safari said: Huyu bibi bado anaishi? Click to expand... Nimeondoka Mtwara siku nyingi kidogo lakini akifa Tanzania itatikisika
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,573 Reaction score 16,365 May 17, 2018 #25 Bujibuji said: Nimeondoka Mtwara siku nyingi kidogo lakini akifa Tanzania itatikisika Click to expand... Hahaha kwann mkuu!? Ila nasikia alihamishiwa nchi jirani pale Mozambique
Bujibuji said: Nimeondoka Mtwara siku nyingi kidogo lakini akifa Tanzania itatikisika Click to expand... Hahaha kwann mkuu!? Ila nasikia alihamishiwa nchi jirani pale Mozambique
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,053 May 17, 2018 #26 Mmh hilo bomba limewahi kutoa maji badala ya gesi kweli?
K kinyama nje JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 1,838 Reaction score 2,487 May 17, 2018 #27 Haha buji unanikumbusha THE BIG SHOW inatoka haitoki yuko wapi big?
Dan Zwangendaba JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 6,606 Reaction score 9,165 May 17, 2018 #28 Mbao za Mawe said: Mmh hilo bomba limewahi kutoa maji badala ya gesi kweli? Click to expand... Kwan8 hukuona wazungu jinsi walivyokubali kunywa matap-tap ya bibi?
Mbao za Mawe said: Mmh hilo bomba limewahi kutoa maji badala ya gesi kweli? Click to expand... Kwan8 hukuona wazungu jinsi walivyokubali kunywa matap-tap ya bibi?
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,053 May 17, 2018 #29 Dan Zwangendaba said: Kwan8 hukuona wazungu jinsi walivyokubali kunywa matap-tap ya bibi? Click to expand... Dah nilikuwa bado kitoto enzi za ujenzi wa bomba la gesi.
Dan Zwangendaba said: Kwan8 hukuona wazungu jinsi walivyokubali kunywa matap-tap ya bibi? Click to expand... Dah nilikuwa bado kitoto enzi za ujenzi wa bomba la gesi.