Visa ya KCB TANZANIA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Visa ya KCB TANZANIA.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Logo, Jan 28, 2011.

 1. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jAMAN NILIKUWA NATAKA KULIPIA BIDHAA NJE KWA KUTUMIA VISA YA KCB TANZANIA BRANCH SASA KILA WAKATI INAGOMA INAANDIKA CREDIT CARD COULD NOT BE VERIFIED TRY TO CORRECT INFORMATION OR TRY ANOTHER CREDIT CARD. NIFANYEJE JAMAN MAKE INFORMATION ZOTE ZIKO SAWA KABISA!
   
 2. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  nakushauri uwasiliane na tawi lako la KCB ambao waliokupa hiyo kadi kwa msaada zaidi.
   
Loading...