Visa vya Maisha ya ndoa/uchumba

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,261
Huu uzi unahusu jinsia zote mbili me na ke

Hivi ukigombana na mwenzi wako ama mkipishana lugha huwa unachukua hatua gani ili kuumaliza huo ugomvi?

Na unaweza kumshauri me ama ke mwingine ambaye labda hana maelewano na mwenzi wake atumie njia gani ili amalize tatizo linalomkabili!!

Na waga inakuchukua muda gani mpaka kuja kuanza kuchukua hizo hatua
 
Ya chumbani yasiletwe sebleni πŸ™Œ
 
Ya chumbani yasiletwe sebleni [emoji119]
Ndoa inafungwa kanisani ama msikitini mchana kweupe tena wawekwa kabisa na mashahidi wa kuishuhudia iyo ndoa sasa kusema ya chumbani imetoka wapi iyo miss!!
 
Nipo stand mkuu najaza abiria kwenye coaster yetu
ila kabla sijaondoka ankai acha nijibu mada kwa ufupi......


Suluhisho ni kuuchuna tuu (akinikosea) mpaka pale atakapotambua kosa lake na kuniomba msamaha "ina muda maalum"

Nikimkosea basi nitahakikisha naomba msamaha kama vile nimemkana Yesu pia zawadi zawadi na mitoko ya hapa na pale ilimradi nisameheweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ (usizidi kipimo

Mwisho kabisa Mwanamke hapigwi ila anatimuliwa
 
Mnachuniana tu automatic baada ya siku kadhaa mtaongea tu.Then si vizuri misunderstanding za wawili uombe ushauri kwa third part baadaye utaanza kujiona mjinga
 
Mnachuniana tu automatic baada ya siku kadhaa mtaongea tu.Then si vizuri misunderstanding za wawili uombe ushauri kwa third part baadaye utaanza kujiona mjinga
Mmmh wewe ndo umewaza ivyo sina misunderstanding na mtu yeyote bt ni katika kujua maisha ya wengine yanendaje
 
πŸ‘©β€πŸŽ“πŸ‘©β€πŸŽ“πŸ‘©β€πŸŽ“
 
Sheria yangu ni moja Tukigombana mimi na wewe ni mimi na wewe ndio tumegombana. Vingine havihusiki kabisa. Tena VIKOJILEO HAVIHUSIKI HAPO.
ukiniudhi de libolo ninakupa kama kawa na ww kitumbua unipe. Tukikojoleshana baadaye ndio tunampgia simu aje atusuluhishe.

Mambo ya kusolve kesi huku nina nyege siwezi kwa kweli nitfanya maamuzi ya hovyo na nitajilaumu.
 
Duu kwel jina spartacus linasadifu yaliyomo.inaonyesha unapenda chini kama huyo msela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…