Visa vya jimama la KINYAKYUSA

Visa vya jimama la KINYAKYUSA

945526_10151612037358535_154245245_n.jpg


Kweli haki sawa
 
House boy sio kazi nzuri, hasa ukikataa kutekeleza majukumu yote, wakati wewe unaonekana ni kijana mwenye misuli!
 
mma ngafu lol... Kukuti siku nalinga umbwene unkikulu uju ali na maka kuti nyakyusa umweee.,

ugwe leka kikolo! Abhajanga balipakutwangalila naloli...... Nguma sya bhannabho
 
unkikulu uju kufwana nummenye pala pa amakina pa kalumbulu mwa kyela
 
Ahahhhaaa nsekile fijo one omwana gwa mfwimi kofuma pa Katyongoli- Kafundo Pa ipinda!

Mandeleni afwile ijolo fijo alenw ifombi pa matanga ahahhhaaa!

Kikolo umenye nkikolo jojosa ogwa matanga muno mwa JF?Ngondonda fijo naloli mweeeh

ugwe malafyale fiki ulimyee papo tujhobhile kanunu au bado ulikumbwani ugwe isa gwee
 
Ha ha ha!
Bujibuji umenikumbusha dada yangu.
Kibaka akimkwapua pochi dirishani kwenye daladala?
Sista alitelemka kama umeme na kumfukuza kibaka mpaka mwisho wa kona na jamaa wakamsaidia kumkamata.
Hizo ngumi alizopigwa na sista, ni heri angekutana na Tyson, jino moja likasambaratika.

Watu waliokuwa karibu badala ya kumpiga kibaka wakaanza kumshangilia sista do.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom