Unafuatilia nn mkuuNafuatilia,natamani nikaishi Australia.
Jinsi ya kupata visa ya Australia.Unafuatilia nn mkuu
Umefikia wap mpk sasaJinsi ya kupata visa ya Australia.
Upo ndani ya dar es salaam au wapUmefikia wap mpk sasa
Sijui hata pa kuanzia. Unaweza kunisaidia?Umefikia wap mpk sasa
Mm pia mgeni sema labda uende ubalozi wao watakupa maelekezo yoteSijui hata pa kuanzia. Unaweza kunisaidia?
Nilifikiri ushafikisha umri na status ya kupata Visa ya nchi yoyoteJinsi ya kupata visa ya Australia.
Nilifikiri lengo la uzi ni kuweka bayana ili kila mtu afaidikeAnayetaka kusaidiwa process ya kupata visa ya canada au USA ani PM
Kwani unajua umri na status yangu ? Yaani hata kupata visa ya kwenda tu hapo Kenya ni mtihani. Nisaidie jinsi ya kupata visa ya kwenda Australia jamani.Nilifikiri ushafikisha umri na status ya kupata Visa ya nchi yoyote
Mcheki My Son drink waterKwani unajua umri na status yangu ? Yaani hata kupata visa ya kwenda tu hapo Kenya ni mtihani. Nisaidie jinsi ya kupata visa ya kwenda Australia jamani.
Nilifikiri ushafikisha umri na status ya kupata Visa ya nchi yoyote
Mimi nilienda Australia mji unaitwa perh. Nilienda kufanya kazi nikarudi. Visa ilikuwa rahisi kupata sasa sijui kwa sababu nilikuwa naenda fanya kazi. Kwanza kabisa nilituma maombi SA sababu TZ hamna ubalozi wa australia. Wakaninyima na kuniambia inabidi niombe visa kwenye nchi yangu au nchi karibu ya yangu. Nikajaza tena nikapeleka nairobi kwa njia ya DHL. wakaanza kuprocess na huku wakiniuliza maswali ya hapa na pale kwenye simu. Ila swali kubwa lilikuwa ni ulishawahi kusafiri nje ya africa? Nikawajibu no. Baada ya wiki wakanitumia kwenye email yangu elecronic visa. Australia wanajali sana unique professionalism.Jinsi ya kupata visa ya Australia.