Visa na visanga vya misibani

Wengine wanatumia misiba kama sehemu ya kukutania,wengi hulala misibani ili wapate chance ya kugegedana tena utakuta wengine ni wake za watu wengine ni ndugu wanakulana wenyewe kwa wenyewe!
Hii ilitokea msiba wa babu kuna bro nlimkuta anamgegeda ndugu😂😂
 
Mkuu acha uongo bana yaani mtu ameshakufa , kisha akagombanie kuzikwa kwa mfalme tena, kwel tena na hiki ni kituko cha msibani aisee , hebu nieleze anaanzaje anzaje kwenda kugombania kuzikwa pahala alipozikwa mfalme , huku yeye ameshakufa
Kwenye koo za kifalme au Kichifu, akifa chifu/mfalme watu ambao wapo alive wanajitolea kuzikwa nae. Basically wanaenda kufia huko huko kaburini
 
Nenda Buguruni mle mle makaburini Kuna sehemu imetengwa ya watu wenye hela.

Ukisikia mtu kazikwa makaburu ya Kigogo, au Mburahati au Mabibo maji machafu ujue huyo hata akaunti benki hakua nayo.
😂😂😂😂😂 Jamani daah, tunateseka tukiwa hai, tunateseka tukifa.
 
Nakumbuka miaka ya nyuma pale mwanayamala kisiwani, walikuwepo wanaume wawili mtu na mdogo wake walevi wao kulala kilabuni ikatokea mmoja akafariki, sasa ilibidi jamaa wachange hela ya sanda na kaburi ikakabidhiwa kaka mtu aende akashugulikie kaburi na sanda, jamaa alivokabidhiwa ile hela, hakuonekana tena watu walikaa na maiti usiku kucha ilibidi ifanyike juhudi nyingine, baada ya siku mbili jamaa ndio karudi akiwa chakari!
 
Alifanya comparative analysis ya sanda n vyombo
 
Sijaelewa, yaani eneo la kuzikwa linalipiwa? Hiyo hela anapewa nani na inafanya kazi gani?
Municipal Council au District Council ndiyo wenye maeneo ya makaburi.

Kwa vijijini kama kuna maeneo maalum ya makaburi ni hivyo hivyo.

Ni heri tuzikie kwenye mashamba yetu la msingi kama uko mbali na mashamba yako ukikaribia kufa acha nauli ya kusafirishia maiti usije tesa wenzako maana nauli ya kusafirisha maiti ni sawa na bei ya kununua IST.
 
Utakuta umekaa pembeni unamuangalia kwa chuki.
Umempa hela? Hapana.
Sasa mbona una-hate? Mind your own business.
Mwache atumie hela yake anavyotaka.
 
Mh!, kwa mtogole anapata wapi eneo la kufuga kuku 600 na ng'ombe?.

Embu Rudia kuandika kwanza uweke vizuri uongo wako.
 
Mtaani kwetu kukiwa na msiba kuna wamama kazi yao kushupaza shingo kucheki nani kaja msibani nani hayupo. Hawajui kuwa siku hiyo wewe ni nesi au dereva na hakuna wa kukushikia na utahani wakati mwafaka..
 
Utakuta umekaa pembeni unamuangalia kwa chuki.
Umempa hela? Hapana.
Sasa mbona una-hate? Mind your own business.
Mwache atumie hela yake anavyotaka.
🤣🤣 yaan nachukia jitu linavyo chafua mazingira kwa harufu. kuna wakati natamani niwe corona nitembee nao😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…