Visa 80 vya MonkeyPox vyathibitishwa nchi 12 duniani

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,005
1,583
Shirika la Afya Duniani WHO limesema pia kuna visa vingine 50 vinachunguzwa - bila kutaja nchi yoyote - na kuonya kuwa kesi zaidi zinaweza kuripotiwa.
Maambukizi yamethibitishwa katika nchi tisa za Ulaya, pamoja na Amerika, Kanada na Australia.

Hadi Kufikia sasa, mashirika ya afya ya umma barani Ulaya yamethibitisha visa nchini Uingereza, Uhispania, Ureno, Ujerumani, Ubelgiji, Ufaransa, Uholanzi, Italia na Uswidi.

Inaelezwa kuwa hadi sasa hakuna chanjo mahususi ya ugonjwa huo, lakini chanjo ya ndui inatajwa kutoa kinga ya 85% kwa kuwa virusi hivyo vinamfanano kwa asilimia kubwa


————————————


The World Health Organization has said another 50 suspected cases are being investigated - without naming any countries - and warned that more cases are likely to be reported.
Infections have been confirmed in nine European countries, as well as the US, Canada and Australia.
Monkeypox is most common in remote parts of Central and West Africa.

It is a rare viral infection which is usually mild and from which most people recover in a few weeks, according to the UK's National Health Service.


The virus does not spread easily between people and the risk to the wider public is said to be very low.

There is no specific vaccine for monkeypox, but a smallpox jab offers 85% protection since the two viruses are quite similar.

So far, public health agencies in Europe have confirmed cases in the UK, Spain, Portugal, Germany, Belgium, France, the Netherlands, Italy and Sweden.
In a statement on Friday, the WHO said that the recent outbreaks "are atypical, as they are occurring in non-endemic countries".

It said it was "working with the affected countries and others to expand disease surveillance to find and support people who may be affected".
The WHO also warned against stigmatising groups because of the disease.

"It can be a barrier to ending an outbreak as it may prevent people from seeking care, and lead to undetected spread," it said.

WHO's Europe regional director Hans Kluge warned that "as we enter the summer season... with mass gatherings, festivals and parties, I am concerned that transmission could accelerate".

He added that all but one of the recent cases had no relevant travel history to areas where monkeypox was endemic.

The first case of the disease in the UK was reported on 7 May. The patient had recently travelled to Nigeria, where they are believed to have caught the virus before travelling to England, the UK Health Security Agency said.

There are now 20 confirmed cases in the UK, Health Secretary Sajid Javid said on Friday.
Authorities in the UK said they had bought stocks of the smallpox vaccine and started offering it to those with "higher levels of exposure" to monkeypox.

Spanish health authorities have also reportedly purchased thousands of smallpox jabs to deal with the outbreak, according to Spanish newspaper El País.
Australia's first case was detected in a man who fell ill after travelling to the UK, the Victorian Department of Health said.

In North America, health authorities in the US state of Massachusetts confirmed that a man has been infected after recently travelling to Canada. He was in "good condition" and "poses no risk to the public", officials said.


Source: BBC
 
Hawa wazungu ni mafala Sana kwasabab huu ugonjwa upo kwao ulaya na walioambukizwa ni wazungu iweje zisambae picha WA waafrica kwenye TV zao zikionesha waafrica ndiyo wagonjwa?
Nimeona CNN na BBC news wakionesha picha za weusi mwanzomwisho

images (1).jpeg


download (1).jpeg


download.jpeg
 
IMG_7065.jpg
Wametengeneza chanjo ya kirusi kipya tayari wategemee kuwapa watoto wao hizo chanjo hawa wauaji,,,sichanji waniue tu! #Depopulation #Africa #Asia
 
View attachment 2232963 Wametengeneza chanjo ya kirusi kipya tayari wategemee kuwapa watoto wao hizo chanjo hawa wauaji,,,sichanji waniue tu! #Depopulation #Africa #Asia
Acha conspiracies..hata ukifa leo wewe dunia itapungukiwa nini.

Hofu na ujinga ndio unaowaua watu kama ninyi...mzungu angekua na lengo la kutuua waafrika leo nahisi tusingekuwepo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wamesshaaanzzaaaaah!

Wamesema wimbi sijui la ngapi la Covid, watu hawashtuki, wametangaza baadhi ya nchi kujiwekea lockdown watu hawajigusi, tumeona watu walivyokimbia Vita na kupokelewa bila barakoa wala cheti cha chanjo wala test za pua!

Wanaona waje na kitisho kingine ili Tu wanadamu tuingiwe hofu ya kifo!

Beberu Mungu anawaona!
 
Acha conspiracies..hata ukifa leo wewe dunia itapungukiwa nini.

Hofu na ujinga ndio unaowaua watu kama ninyi...mzungu angekua na lengo la kutuua waafrika leo nahisi tusingekuwepo.

#MaendeleoHayanaChama
Nyamaza ufiche ujinga wako
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom