Virusi viwili vinavyobadili taswira ya Taifa; Magufulization na Magufulification

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
Anaandika Mwanafalsafa G.H. Kazeleki

Taifa letu limekumbwa na virusi viwili vya hatari vinavyojenga na taswira taswira. Kimoja kinaitwa MAGUFULIZATION na kingine kinaitwa MAGUFULIFICATION. Inaonekana viliingia nchini tarehe 05/11/2015 kupitia jiji la DSM.

Madaktari wanadai dalili za MAGUFULIZATION ni hizi:

1. Uimara wa ya vyombo vya habari katika uhakiki wa habari zinazorushwa kwa jamii.
2. Kuepuka mikusanyiko isiyo maana hasa ya kutumika kisiasa
3. Matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii
4. Kirusi kinashawishi kufuata sheria na taratibu za nchi bila shuruti.
5. Kuimarisha uwezo wa kutenda haki kwa wananchi wanyonge.
6. Kuimarisha uwezo wa kukumbuka yaliyopita na kuyaboresha zaidi ya sasa na yajayo.
7. Huongeza uwezo wa kuboresha zaidi mambo ya maendeleo yanayofanywa na nchi jirani hali iliyo sababisha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati.
8. Dalili mpya hujitokeza kwa mgonjwa kila wakati uhitaji kupimwa kwa yale mambo yanayoonekana kama vile maendeleo ya nchi yetu kupimwa na kuonekana katika majarida maarufu kama vile Forbes na Bloomberg
9. Kirusi kinamsukuma mgonjwa kuwa karibu na Mungu na kumtegemea Mungu hasa kwenye majanga makubwa kama vile COVID-19.

Dalili za kirusi cha MAGUFULIFCATION ni hizi:
1. Ujasiri wa kufanya maamuzi magumu hasa kulinda rasilimali za nchi kama vile madini.
2. Kuchukua hatua stahiki bila kujali itikadi wala imani ya mtu.
3. Kusimamia Taifa kama Amiri Jeshi Mkuu na kuhakikisha haki inafanyika bila upendeleo.
4. Kuanzisha miradi mikubwa ya kimkakati inayoleta ajira kwa wananchi na kuinua kipato.
5. Kuwafanya wapinzani wa Serikali wajione sisimizi na wanyonge, wasio na hoja za kuwaeleza wananchi hasa kuelekea uchaguzi mkuu.
6. Kirusi hiki kinafanya imani iwe ya kuanza na Mungu na kumaliza na Mungu na kumesababisha Mungu kulibariki na kulilinda Taifa.
7. Kirusi hiki kimewafanya wapinzani kuanza kujifunza nini maana uzalendo wa vitendo na sio porojo katika mitandao ya kijamii
8. Kinamfanya wapinzani kuanza kulaumiana na kufukuzana uanachama na kusababisha siri zao kuwa hadharani.
9. Kinamfanya mwenyekiti wao alewe kwa mvinyo (konyagi) kisha kuteleza nwenye ngazi na kuumia mguu kisha kusingizia kuwa kashambuliwa.

Virusi hivi viwili visambaa kwa kasi hapa nchini. Madaktari wanashauri wagonjwa wa virusi hivi viwili vya hatari, kutumia dawa moja inayofanana na wakiishapona wadungwe chanjo ili wasiambukizwe tena. Dozi ya dawa hiyo ni:

1. Matumizi SAHIHI ya vyombo vya habari kutwa mara tatu.
2. Matumizi ya hoja za msingi mara 12 kwa siku
3. Kuheshimu sheria na utawala uliopo madarakani mara 24 kwa siku.
4. Kula upendo mara 2, kunywa uvumilivu mara 3 na kujipaka mafuta ya umoja mara 6 kwa siku ili kupunguza wimbi la wanachama kuhamia vyama vingine.

Wakati wote wa kutumia dozi hii, wagonjwa waepuke:

1. Matusi na kejeli mtandaoni bali wajenge hoja zenye ushawishi kwa wananchi
2. Kuheshimu utawala uliopo madarakani pamoja na vyombo vyake vya dola
3. Kuacha kushirikiana na mabeberu kuiba rasilimali za nchi.
4. Kuacha kugawa vyeo kwa ukanda hasa viti maalumu, kuacha ulevi wa pombe kali pamoja na kuacha kufanya ngono na wanachama wa kike kwa lazima.
5. Wote wajiepushe na imani ya kuwa watashinda nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 wakati hawana ajenda za msingi.

Kuna maisha baada ya uchaguzi wajipange wengine kwenda kuwa wafugaji wengine wakaishi nchi jirani maana wanajitapa kuwa waliongezewa damu na wananchi wa Taifa hilo. Wamwogope Mungu na Teknolojia.
 
Yaani mataga wameharibiwa ubongo na CCM.
Kweli kabisa hamuwezi kuja na hoja ya maana,fikirishi na yenye mashiko kwa wanachama wenu zaidi ya kumuiga Baba Askofu!!??
Mkiambiwa akili zimedumaa na kuwa misukule mnasema mnatukanwa.
 
Magufuli amekosea mambo mengi ya msingi na asipokuwa makini atajikuta akikataliwa hata na chama chake.
 
Chalamila Jiandae serikali ya Lissu inaenda kufutilia Mbali upuuzi wa titles za Mkuu wa Mkoa
 
Umeiga kwa askofu Bagonza. Lumumba huwa hawana ubunifu. Au na wewe una degree tatu halafu una miaka kumi hapo Lumumba huku ukilipwa laki 5 kwa mwezi?

Pole sana
 
Hawa jamaa ndio walioiharibu na twitter kwa kununua account za watu wa wenye followers Wengi.
 
Back
Top Bottom