Hv hawa viruses ktk hz devices origin yao ni wap
Mwanzoni kabisa kuna wanafunzi waliokuwa wanafanya programming wakiwa Lab, So Mwalimu wao akawa anawapa homework za kufanya wakiwa wanaenda makwao, Siku moja kuna mwanafunzi alipewa kazi ya homework ya programming, Aliporudisha ile kazi ilikuwa errors nyingi sana, yaani ikawa inafanya kazi tofauti na ilivyokusudiwa, so tokea hapo wale wanafunzi wakawa wanajua wakitengeza code flani tofauti na ilivyokusudia zitaenda kuharibu program au system na itakuwa inafanya kazi tofauti na ilivyokusudiwa. So tokea hapo wakawa wanatengeneza code zenye errors ambazo zikawa zinaharibu system iliyopo. Virus = code errorsHv hawa viruses ktk hz devices origin yao ni wap