Virus Wameharibu Data Zako ??

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
213
Makazini majumbani hata mashuleni tumeona komputa zikiingiliwa na virus basi mwenye komputa hiyo anapoteza moyo kabisa kwa sababu anafikiri data zake ndio zimeshaenda na maji tena hatokaa azipate tena , hiyo inatokea anapokutana na technician ambaye haelewi kiupata masuala ya virus na kadha wa kadha wengi wanakimbilia katika kufuta operating system na kumwambia pole sana file zako zote zimefutwa au zimeliwa na virus hutozipata tena .

ANGALIA ATTACHMENT KUSOMA ZAIDI​
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom