MOLAM
Senior Member
- Oct 12, 2013
- 141
- 20
Wana jamvi kuseme kweli nipo chini ya miguuyenu nikiwaelezea matatizo yangu;;mimi natumia simu aina ya "nokia 2730"simu hiyo imevamiwa na virus ambayo imesababisha uharibifu mkumbwa mno kwani kuna baadhi ya vitu muhimu vimeharibika kamavile"GO TO;WEB SEARCH; vimeharibika kabisa; naombeni msaada wenu wa namna ya kuirekebisha au kuirudisha katika haliyake ya kawaida;; kwani natanguliza shucrani zangu kwenu wakuu.