Virus mpya wa vifaa vya apple

Virus mpya wa vifaa vya apple

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,764
Programu inayoharibu mifumo ya
kompyuta inayoaminika kutoka uchina
inalenga kompyuta na vifaa vingine vya
kampuni ya Apple. Kampuni ya Usalama
Palo Alto Networks inasema kuwa
programu hiyo inayojiita "WireLurker" ina uwezo wa kupata habari za kibinafsi,
imeenea kwa kutumia programu za
apple zinazopatikana katika hifadhi za
programu. Programu hiyo ina uwezo wa
kuhama kutoka dirisha la kompyuta hadi
katika kiini cha kopmyuta kwa zaidi ya vifaa mia nne waya za kuhamisha
ujumbe. wadadisi wamesema kuwa
wanaotumia vifaa vya apple wanafaa
kutumia hifadhi za programu rasmi.
 
Mmmh!!! anyway najua apple hawakawii kutoa security update. Wait n c.
 
Back
Top Bottom