na Leo JUMA duni alikuwepo Kibondo kasema ataruhusu bangi na gongo siku akiwa rais yaani nikagundua kwa nini ukawa hawana live kwenye mikutano yao isee kaongezea kutoka Kibondo kwenda Kigoma tunavuka mto maragarasi tunalipia haaa yaani ukawa ni vituko