Virgin Airlines and British Airways now accepting Mpesa

Virgin Airlines and British Airways now accepting Mpesa

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
Virgin Airlines and British Airways now accepting Mpesa

safari_200x240.jpg

Back in 2007, a simple mobile money transfer service ‘Mpesa' was introduced in Kenya on a trial basis with little knowledge that later on, Mpesa would culminate into a solid credible money transfer option accessible by the majority from their mobile phones.

As of now, Mpesa has gained a .... Read more »
 
...As of now, Mpesa has gained a .... Read more »
Wewe Android na Mbuzi Mzee inaonekana ni mtu mmoja na kazi yako ni kupromoti hicho kijiblog chako cha jesusislord. Aisee sio wote tunahitaji kupata vijimaneno vya kilokole hapa. Hebu ondoa takataka zako. Kama unataka watu wasome zaidi makala unazoleta ni vyema hizo "Read more>>" linki zako zisipitie hicho kijiblog chako uchwara. Unatuchosha na kututia kichefuchefu!
 
Hello
Upende usipende. YESU NI BWANA. Kila goti litamwabudu na kila Ulimi utakiri kwamba Yesu ni Mkuu Wa majeshi
 
Hello
Upende usipende. YESU NI BWANA. Kila goti litamwabudu na kila Ulimi utakiri kwamba Yesu ni Mkuu Wa majeshi
Post yako ya kwanza sio? Ok, endelea na huo ujinga hadi hapo utakapong'amua kwamba unapoteza muda wako!!!!
 
Back
Top Bottom