Tena ilikuwa nyimbo moja inachukua dk 15...lwambo lwanzo makiadi, tabu ley, Sam mangwana, boz boziana, mbilia bell, nawengine wengi tu...
haha! Siku hizi imebaki kuwa miziki ya virabu vya pombe za kienyeji!! Btw-mzima wewe? U lost!!
nilikuwa namfutia baba vumbi....ushavaa vile viatu vyenu virefu- vyenye visigino??
dah! Basi mtakuwa mnakumbuka mbali sana!!
ushavaa vile viatu vyenu virefu- vyenye visigino??
wapi huko mupenzi?? Ushavaa chachacha wewe? Hahaha!!
Na njumu je imeandikwa adidas kwa wakaka.
Mi nilikuwa na raba za shule kubwa tuliziita lakuchumpa na beg la shule kubwa Volcano utadhani tunapanda milima
aisee! Unanchekesha sana ujue!! Lakuchumpa siye tulikuwa tunaita lakupanda! Bonge la raba na kamba za kijani!!