Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 563
Mkuu kwa uelewa wangu mimi hospital kubwa kwa huku ninapoishi ni Kama hii ya Rabininsia na hii ya Kitengule,kwa wakazi wa maeneo ya Tegeta nadhani mnazifahamu,Hospitali kubwa ni nini?Ni majengo yake?Ni huduma makini yake?Ni madaktari bingwa wake?Ni wingi wa wagonjwa katika hiyo hospitali?Ni wingi wa wahudumu ambao pengine hawana utaalam wa kutosha na hawako makini?Ni ngazi ya hiyo hospitali?(Hospitali ya rufaa,etc)Ni wingi wa vifaa tiba katika hiyo hospitali?
Hospitali kubwa ni nini/ni ipi?Tupate definition na tuichambue kwanza,kwa sababu hospitali inaweza kuwa ndogo kuliko dispensary za vichochoroni halafu ikawa inaitwa ni hospitali kubwa kimakosa!
Sizifahamu,naomba nipe sifa zake ni kwa nini unaziita ni hospitali kubwaMkuu kwa uelewa wangu mimi hospital kubwa kwa huku ninapoishi ni Kama hii ya Rabininsia na hii ya Kitengule,kwa wakazi wa maeneo ya Tegeta nadhani mnazifahamu,
Zina majengo makubwa makubwa madakatari wabobezi na vifaa vya kisasaSizifahamu,naomba nipe sifa zake ni kwa nini unaziita ni hospitali kubwa
Umejuaje kuwa hao madaktari ni wabobezi?Una CV zao?Hata kama una CV zao,umejuaje kuwa elimu yao siyo fake?Umejuaje kuwa vifaa vyao ni vya kisasa?Una ujuzi wa kutambua vifaa vya hospitali hadi ujue kuwa vifaa vyao ni vya kisasa?Zina majengo makubwa makubwa madakatari wabobezi na vifaa vya kisasa
Hapo ni maswala ya vipimo wanavyotumia,kuna hospitali vipimo wanavyotumia kama malaria ikiwa chini ya level flani haisomi,na ukienda huko ulikoenda vipimo vyao vyenyewe vinasoma malaria kwenye hiyo level na ndio maana anaonekana na malaria,ngoja waje wataalamu wa afya wenyewe wanajua mambo haya vizuri...
Hii kitu mimi pia iliwahi kunikuta kwenye Ugonjwa wa Typhoid,Hospitali kubwa nilioenda walipima kila kitu wakasema hamna tatizo,nikashangaa nilipopima malaria kwenye maabara ndogo ya binafsi naambiwa ninayo,na nilipoanza kutumia tu dawa hali yangu ikaimarika...Hata mimi niliumwa sana mwaka jana nilikwenda rabininsia mara 3 hawaoni kitu ila bi mkubwa anasema hiyo malaria nilimgomea nikiamini ile hospitali kubwa bwana kuna mama akanishauri nenda toifo ni dispensary ndogo ipo njia ya kwenda tegeta kituo cha polis walinikuta na malaria na nilipoanza dose nilkapata nafuu na kupona kabisa.
Yani kuna vipimo hizi hospitali kubwa wanatumia ambavyo havitoi majibu ya kweli na wataua watu kweli.
Mkuu hospital ni hiyo hiyo sema sikutaka kuitaja,mimi ilibidi niende dispensary ya Arafa pale Tegeta msikitini,na nimejaribu kufanya utafiti nikaona sio peke yangu anaelalamika kuhusu ili tatizo,Hata mimi niliumwa sana mwaka jana nilikwenda rabininsia mara 3 hawaoni kitu ila bi mkubwa anasema hiyo malaria nilimgomea nikiamini ile hospitali kubwa bwana kuna mama akanishauri nenda toifo ni dispensary ndogo ipo njia ya kwenda tegeta kituo cha polis walinikuta na malaria na nilipoanza dose nilkapata nafuu na kupona kabisa.
Yani kuna vipimo hizi hospitali kubwa wanatumia ambavyo havitoi majibu ya kweli na wataua watu kweli.
Hii kitu nilibishana sana na sister wangu ambae ni nesi,huenda ni kweliTetesi nilizosikia hospitali kubwa zinalazimishwa na gov kutumia vipimo hivyo vya uongo tuonekane tumetokomeza malaria.