GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,450
- 127,624
Kwa nini unakuwa rude hivyo kwa mwenzako? Hujafa hujaumbika. Labda uwe huna mahusiano yoyote diniani sexually. Pia hujui ndugu na wanao watakuwa na maisha gani. Ngoja yakufike au yaifike familia yako. HIV is nothing duniani. Mimi ninaogopa cancer tu. With HIV unadunda miaka ukiikubali hali. Tell me about cancer!!!???
Mhhhhhhh hata ndugu. Kila la heri.Tatizo la Tanzania Wakweli au Wawazi hatupendwi halafu na Jamii yetu kubwa nayo imeshaambukizwa kuuchukia Ukweli hivyo sikushangai Wewe kupovuka huku. Kwani una uhakika gani labda kuwa Mimi ni HIV- Mkuu? Yawezekana nikawa ni Muathirika hivyo kupitia uzoefu wangu nimeamua tu kumpa huyo Mtu msaada ambao labda alikuwa haujui ili aweze kujiandaa kuliko kutegemea kusikia tu pole zenu ambazo nyingi zinaweza kuwa ni za Kinafiki tu. Najiona nimekuwa Shujaa kwa kunyoosha maelezo na kumwambia ukweli huyo Mleta uzi na natumai amenielewa pia.
Ana dalilo gani maana ni bora kama anawasiwasi ajiweke upande wa postive maana ili isiwe suplaizi maana....Salaaam sanaa wana JF awaliyayote napenda kumshukuru mungu kwa kutujalia afya na uzima
Niliwahi kuleta mada ya mtu wangu wakaribu aliwahi kwenda Hospital kupima hiv kipimo cha kwanza hambacho ndio mara nyingi huanziwa kupima HIV kilisoma mistari miwili lakini cha pili ambacho wanaita cha kuthibitisha kilisoma mstari mmoja tu hivyo
Nikaleta uzi kwa ajili yaushauri wengi wakasema akae kwa mda apime tenaa sasa imepita miezi 3
Leo kaenda kupima tena kipimo cha kwanza kimesoma mistari miwili na chapili chakuthibitisha kimesoma mstari mmoja
Tafadhali wataalamu naombeni mumsaidie je atakuwa na HIV au atakuwa na efecktion zingine ??
Kwani anaishi kwa mashaka sanaa nahajui awe kundi la positive or negative
Naombeni ushauri wenu wataalamu
Ahsnteni
KaswendeVdrl nikipimo chann mkuuu sorry?
Aanze kujiandaa kisaikolojia tu!! Ukweli ni kwamba anao!!!Salaaam sanaa wana JF awaliyayote napenda kumshukuru mungu kwa kutujalia afya na uzima