bwanafundi
Member
- Jan 13, 2011
- 17
- 1
jamani wana jamvi naomba msaada wenu,huku kilosa kuna ujenzi wa barabara kiwango cha lami,na imekuja barua inayowaamrisha wananchi ambao walijenga kando ya barabara ya zamani inayotoka dumila kwenda wilayani kilosa kuwa wabomoe wenyewe nyumba zao zilizo mita 22.5 toka katikati ya bara.sasa swali ninaloomba mnisaidie,je ni kweli barabara za vumbi zinazounganisha wilaya zina upana wa mita 45?na hasa hii ya dumila inayoanzia barabara kuu ya morogoro to dodoma.