tatizo unashindwa kuwaelewa wanawake, hapo anataka utume hela ya matibabu anashindwa kukuambia direct tuHapana sijamuomba mzigo ila yeye yupo mbali kidogo sasa mm simuelewi kila siku naumwa had kero yaan [emoji1787][emoji1787][emoji1787], saiv mwez sasa ni meseji za naumwa tu.
Yaan yeye kila siku baby naumwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mara kifua kinanibana mara nyonga imeachana na mwili hamna siku ambayo yeye ni mzima. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nanda nae mkapime VVU
Yaan yeye kila siku baby naumwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mara kifua kinanibana mara nyonga imeachana na mwili hamna siku ambayo yeye ni mzima. [emoji23][emoji23][emoji23]
KakaUvivu tu umamsumbua huyo!
Ngalikihinja,UMEJUAJE KAMA SIO UMBEYA?😎😎Hapo hela tu anataka....
Hello mdogoKaka
Duh! Kwahiyo baby naumwa ndio mzinga? Sie wengine tumeshazoea "baby nikwambie kitu!" ndio mzinga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji120][emoji120][emoji120]Hv unauepukaj mzinga wa baby naumwa? Maana sipendagi mizinga mm.
Huo ndio mzinga nao kama hujui ni mzinga wa kijanja, ila wa baby nikwambie kitu huo ndio huwa balaa kuliko yote. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh! Kwahiyo baby naumwa ndio mzinga? Sie wengine tumeshazoea "baby nikwambie kitu!" ndio mzinga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji120][emoji120][emoji120]
Nakuhamu mimi jamaniHello mdogo