Vipi unamchukuliaje huyu mwanamke?

Vipi unamchukuliaje huyu mwanamke?

Kwwhiyo unataka akuambie kuwa ni mzima wakati ni mgonjwa? Hapo utakua unataka kugegeda unanyimwa daily kwa kisingizio cha ugonjwa.

Vumilia tu yatapita.
Hapana sijamuomba mzigo ila yeye yupo mbali kidogo sasa mm simuelewi kila siku naumwa had kero yaan [emoji1787][emoji1787][emoji1787], saiv mwez sasa ni meseji za naumwa tu.
 
Hapana sijamuomba mzigo ila yeye yupo mbali kidogo sasa mm simuelewi kila siku naumwa had kero yaan [emoji1787][emoji1787][emoji1787], saiv mwez sasa ni meseji za naumwa tu.
Hapo hela tu anataka....
 
Anataka umjengee Dispensary yake mkuu jiongezee
 
Simtumii pesa mpaka ajitoe mwenyew [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uwe unampa hela kila mara kabla hata ajasema anaumwa
 
Back
Top Bottom