Tumsubiri aje achague mwenyewe. miss chagga uko wapi?Kama vipi aseme tumchagulie
Tumsubiri aje achague mwenyewe. miss chagga uko wapi?
Hii ataipenda mno ni picha ya kabla hajajua ze utamuKama vipi aseme tumchagulie
miss chagga yuko kimaslahi zaidiView attachment 178478Hii ataipenda mno ni picha ya kabla hajajua ze utamu
Namchagulia la pili toka kushoto
asante kwa maua mazuri rafiki SHIEKA
Umefanya vizuri kuchagua.Sasa uko smart miss chagga!bianmu nichagulie
Umefanya vizuri kuchagua.Sasa uko smart miss chagga!
Siorafiki huyo miss chagga mtani wangu SHIEKA ana lake la moyoni wee subiri utaniambia
miss chagga hatakuwa na la kukuambia Mshana Jr.Tuliyamaliza yote tulipokutana kcmc na kumpa lift kwenda kwao samanga marangu.Siorafiki huyo miss chagga mtani wangu SHIEKA ana lake la moyoni wee subiri utaniambia
Asante na wewe pia miss chagga kwa kuyakubali haya maua. Ntakuwa nayaweka from time to time maana nina akiba kubwa sana ya kukutoshea mwaka mzima.asante kwa maua mazuri rafiki SHIEKA
miss chagga hatakuwa na la kukuambia Mshana Jr.Tuliyamaliza yote tulipokutana kcmc na kumpa lift kwenda kwao samanga marangu.
mshana jr anakutania tu miss chagga, achana naye!Hajui uliyonieleza tulipokuwa tunaelekea marangu siku ile.Embu nidokeze kidogo
NimemwacHa aimsikilizimshana jr anakutania tu miss chagga, achana naye!Hajui uliyonieleza tulipokuwa tunaelekea marangu siku ile.
Tukytane pm japo SHIEKA keshasema alikupaga lifti marangu
Asante na wewe pia miss chagga kwa kuyakubali haya maua. Ntakuwa nayaweka from time to time maana nina akiba kubwa sana ya kukutoshea mwaka mzima.