Jamaa alikuwa anafanya kazi mochwari, siku hiyo akaamka na bonge ya homa, akaenda na mkewe hospitali wakati anapimwa damu na nesi, mkewe akaona itakuwa vizuri kuwataarifu wafanyakazi wenzie kazini kwake kuwa anaumwa akamuuliza mumewe;
MKE: Vipi niwataarifu mochwari?
NESI: He mwanamke una roho mbaya wewe, ondoa uchuro mume wako haumwi kiviiile