Vipi nimeibiwa ama?

Vipi nimeibiwa ama?

Chungu cha bibi

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
525
Reaction score
166
Nimenunua laptop k/koo HP CQ61 ram 2gb Hdd 250 gb processor 2.4ghz Kwa 399000/= vipi wadau nimepigwa au?
 

Attachments

  • 1419859903271.jpg
    1419859903271.jpg
    78.4 KB · Views: 206
Kama ni kariakoo haina shaka umeibiwa......matapeli wote wa mji huu wamejaa pale...pole sana mkuu...........
 
Hiyo machine haizidi laki tatu, hata zile dual core za speed hiyo zipo kwenye tatu na nusu
 
Wasikuvunje moyo bei iko sawa usjali kama ikiwa ipo ktk condition nzuri kinyume na hapo umepigwa
 
Back
Top Bottom