VIPI NI VYUO BORA VYA KILIMO?

VIPI NI VYUO BORA VYA KILIMO?

Fredrick Mmari

Senior Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
144
Reaction score
37
Habari wana jamvi
Nauliza vyuo gani bora kwa kozi za kilimo kwa mwanafunzi anayetaka kusoma certificate ya general agriculture?

Pia namna gani rahisi ya kupata ufadhili wa serikali ukiangalia kwa sasa mfumo wa NACTE umebadilishwa na wanafunzi kutakiwa kuomba moja kwa moja chuo husika?

Ufaulu wa binti huyo ni kama ifuatavyo

CIVICS C
HIST C
GEOG C
KISW C
ENGL C
CHEM C
BIOS C
MATHS D
PHY F

Ana division 2.21 kamaliza 2016
 
We jamaa hauko serious, tangu lini SUA wanafundisha certificate ya agriculture general ?
 
muache binti atulie nyumbani asubiri kuolewa akamhudumie mumewe,mwanamke karne hii akashinde mashambani w.t.f!
 
Naliendele Mtwara au kule Mbeya nahisi Uyole ....Uyole ndio bora zaidi kwa certificate na diploma
 
muache binti atulie nyumbani asubiri kuolewa akamhudumie mumewe,mwanamke karne hii akashinde mashambani w.t.f!

Mkuu wewe una watoto wa kike au ndugu zako wa jinsia ya kike ?
 
Back
Top Bottom