chukua kipande majani 2 ya mchunga, moja la gligilani ama mchai chai ponda kidogo kama mara 5, then weka kipande cha limau na ice cubes
mwisho mwagia Konyagi ni coctail moja nzuri sanaaa.
chukua kipande majani 2 ya mchunga, moja la gligilani ama mchai chai ponda kidogo kama mara 5, then weka kipande cha limau na ice cubes
mwisho mwagia Konyagi ni coctail moja nzuri sanaaa.
Mkuu Bowbow !kwanza nakupa shukurani nyingi kwa mchango wako wa coctail wageni wangu walifurahi sana na kuniuliza ni vipi nilifanya ,wakanitaka niwandikie na wakanihakikishia wakirudi kwao wataijaribu katika Bar za kwao na kama itapendwa kama walivyo ipenda wao kuna uwezekana wa something good will come out of it.