BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,532
- 11,027
Mkuu,ni kweli?Mbona Shimo Lishatena Kama Dk5 Zilizopita
Mkuu,ni kweli?Mbona Shimo Lishatena Kama Dk5 Zilizopita
Yap Kama Una Nmb Mobile Chek Mda HuMkuu,ni kweli?
Najua sana kuanzia tarehe 20 mpaka 25 lazima mshahara uwe umetoka, mwezi uliopita sikumbuki!Mwisho wa mwezi kwa watumishi wa umma unajua?unajua mwezi uliopita walitoa lini?
NdioKweli?
Asante kwa majibu yako, hapo kwenye avatar ni wewe?nimevutiwa sana na muonekano wako,samahani kwa kukuuliza miswali,watoto wazuri hawaulizwagi miswali ya hovyohovyo.Najua sana kuanzia tarehe 20 mpaka 25 lazima mshahara uwe umetoka, mwezi uliopita sikumbuki!

Hapana sio mimi Mkuu.Asante kwa majibu yako, hapo kwenye avatar ni wewe?nimevutiwa sana na muonekano wako,samahani kwa kukuuliza miswali,watoto wazuri hawaulizwagi miswali ya hovyohovyo.![]()
![]()
![]()
![]()
Masaa ya kazi yameongezwa hadi saa ngapi?Je huyu Magufuli ameshatukumbuka maana kazini ameongeza Masaa ya kuchapa kazi katukumbuka?
Wenzio unapigwa juu kwa juu, bora wewe umeushika ukatumia,Tumeshatumia robo ya salary
mbna cc wanajeshi tiali...serikali yangu kwa sasa haina pesa. labda msubiri hadi tarehe 10april nitawawekea nusu. kwani kwa sasa watu hawatoi kodi na me nategemea kodi kwahiyo kwa sasa sina hela... we piga kazi
Hatuja uliza kazi yakombna cc wanajeshi tiali...
Nyie mmepewa mia Tatu ya juice,mbna cc wanajeshi tiali...