Vipi mishahara tayari?

Ohhhppppssssss...[emoji20] [emoji20] [emoji20]
Kumbe nayeye aliziba shomo la panya kwa mkate...[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Kwa uandishi huo unadhani ana vyeyi halali kulipwa mshahara wa serikali.?
 
Vyeti vya ndugu yako vimekubakisha kazini,ungetumia vyako sahivi ungekua kando.
 
Jamani hali tete tunaokinga pochi tarehe kama hizi huwa za raha maana mapochi hutuna...
Kwa tuotegemea malipo ya mara 12 kwa mwaka tuna tabu sana hasa mambo yakicheleweshwa...vipi mmeshaingiziwa mshahala huko...?
Mishala ndo mdudu gani?
 
Ukipata mshahala tukutane chimbo letu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…