X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,791
- 15,019
ngoja waje wanaoingiziwa "mshahala"vipi mmeshaingiziwa mshahala huko...?
Upo wizara gani mamy ... Mambo ya ndani hadi muda huu tunalia tuTayari wee nenda tu kachague lugha kwenye eitiemu
Mkuu wewe bado hujaingiziwa mshahala?Jamani hali tete tunaokinga pochi tarehe kama hizi huwa za raha maana mapochi hutuna...
Kwa tuotegemea malipo ya mara 12 kwa mwaka tuna tabu sana hasa mambo yakicheleweshwa...vipi mmeshaingiziwa mshahala huko...?
Mshahara umeshatoka tokea janaUpo wizara gani mamy ... Mambo ya ndani hadi muda huu tunalia tu
Mshahara bado, ila mshahala tayari siku nyingi!Jamani hali tete tunaokinga pochi tarehe kama hizi huwa za raha maana mapochi hutuna...
Kwa tuotegemea malipo ya mara 12 kwa mwaka tuna tabu sana hasa mambo yakicheleweshwa...vipi mmeshaingiziwa mshahala huko...?
Kweli hali ni tete hadi badala ya 'mishahara' umeandika 'mishala' kwenye heading kisha umemalizia 'mshahala'.!Jamani hali tete tunaokinga pochi tarehe kama hizi huwa za raha maana mapochi hutuna...
Kwa tuotegemea malipo ya mara 12 kwa mwaka tuna tabu sana hasa mambo yakicheleweshwa...vipi mmeshaingiziwa mshahala huko...?
Ni Aibu Kuulizia Mshahara Kama Umetoka Inaonesha Ni Njaa Kali Inauma. Ni Bora Kuwa Na Vimirati Kujikimu Na Mahitaji Muhimu Ya Kila SikuJamani hali tete tunaokinga pochi tarehe kama hizi huwa za raha maana mapochi hutuna...
Kwa tuotegemea malipo ya mara 12 kwa mwaka tuna tabu sana hasa mambo yakicheleweshwa...vipi mmeshaingiziwa mshahala huko...?
hahahahaNatumaini hiyo heading hujaandika wewe
Cc: Kangi LugoraUpo wizara gani mamy ... Mambo ya ndani hadi muda huu tunalia tu
Inawezekana ameandika yeye, lakini alikua ananjaa... tehteehhhNatumaini hiyo heading hujaandika wewe
Inawezekana ameandika yeye, lakini alikua ananjaa... tehteehhh