Vipi masai bana!

Vipi masai bana!

Mdudu Wa Masala

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
134
Reaction score
79
Maasai sita wakapanda dala kuelekea arusha.konda alipowaitisha pesa mmoja akatoa wale watano wakadaisha sisi apana enda arusha yero.tunasindikisa huyu ndugu yetu.
 
Duh,,,,, ngoja mimi ako najaribu hii kitu...
 
Back
Top Bottom