kivipi mkuu fafanuaLabda walikuwa hawajajiandaa
Kusubiri kwa wiki moja itakua utumishi ya baba yako wenzio wana apply kazi wanajiandaa na Interview we unabweka mitandaoniUtumishi ni jibu kubwa sana hauwezi kutangaza kazi inachukua miezi 3 hadi 6 kumuita mtu kwenye interview baada ya hapo anatakiwa kusubiri majibu baada ya miezi 3 na kuendelea kama umefanikiwa au la..Kwa ufupi process ya ajira utumishi hadi kupata kazi si chini ya miezi 6 na kuendelea otherwise amua kufanya mambo yako mengine maisha yaendelee..
Duuu kwa hiyo mchakato ndio basi tena au.......??Labda walikuwa hawajajiandaa
sasa baba yake kafuata nini humu mbona unakuwa hujaastarabika kijana kwenye kutoa maoniKusubiri kwa wiki moja itakua utumishi ya baba yako wenzio wana apply kazi wanajiandaa na Interview we unabweka mitandaoni
Kuhusu TCRA tayari watu wapo kazini kuanzia mwanzoni mwa 2020,mimi nina jamaa yangu mwenzake alipata hiyo nafasi alitokea tigo.Mkuu pole.Mambo mengine kujua ni changamoto,wapo waliofanya interview TCRA October 2019 mpaka leo hawajapata majibu.Ivyo kuwa mvumilivu endelea na majukumu yako.
Wengine huwa wanafanyiwa veting na wanaweza wakaita watu usijue,ivyo ikiwa ni bahati yako utaitwa ila nikushauri usipoteze muda wako kufuatilia,wengine wanaitwa baada ya mwaka mmoja/miwili au kabla ya mwaka au unaweza usiitwe kabisa.Hakuna formula maalum.Endelea na shughuli zako.
Ahsante mkuu kwa taarifa.Kuhusu TCRA tayari watu wapo kazini kuanzia mwanzoni mwa 2020,mimi nina jamaa yangu mwenzake alipata hiyo nafasi alitokea tigo.
Poa kaka.Ahsante mkuu kwa taarifa.
Majibu ya kiungwana,wewe mkuu ubarikiwe.Mkuu pole.Mambo mengine kujua ni changamoto,wapo waliofanya interview TCRA October 2019 mpaka leo hawajapata majibu.Ivyo kuwa mvumilivu endelea na majukumu yako.
Wengine huwa wanafanyiwa veting na wanaweza wakaita watu usijue,ivyo ikiwa ni bahati yako utaitwa ila nikushauri usipoteze muda wako kufuatilia,wengine wanaitwa baada ya mwaka mmoja/miwili au kabla ya mwaka au unaweza usiitwe kabisa.Hakuna formula maalum.Endelea na shughuli zako.
Mkuu naona wametoa majina.unaweza angalia hapaView attachment 20211705452147TANGAZO LA KUITWA KAZINI MEI, 2021.pdfMajibu ya kiungwana,wewe mkuu ubarikiwe.
Mleta mada sina shaka ameelewa kama mimi nilivyoelewa
Wenye bahati wamepataMkuu naona wametoa majina.unaweza angalia hapaView attachment 1794274