Vipi majina ya waliofanya Oral interview (October -2020) eGA kupitia UTUMISHI yameshatoka?

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,939
2,000
Utumishi ni jibu kubwa sana hauwezi kutangaza kazi inachukua miezi 3 hadi 6 kumuita mtu kwenye interview baada ya hapo anatakiwa kusubiri majibu baada ya miezi 3 na kuendelea kama umefanikiwa au la..Kwa ufupi process ya ajira utumishi hadi kupata kazi si chini ya miezi 6 na kuendelea otherwise amua kufanya mambo yako mengine maisha yaendelee..
 
Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,821

Kusubiri kwa wiki moja itakua utumishi ya baba yako wenzio wana apply kazi wanajiandaa na Interview we unabweka mitandaoni
 
Israel

Senior Member
Apr 9, 2012
169
225
Mkuu pole.Mambo mengine kujua ni changamoto,wapo waliofanya interview TCRA October 2019 mpaka leo hawajapata majibu.Ivyo kuwa mvumilivu endelea na majukumu yako.
Wengine huwa wanafanyiwa veting na wanaweza wakaita watu usijue,ivyo ikiwa ni bahati yako utaitwa ila nikushauri usipoteze muda wako kufuatilia,wengine wanaitwa baada ya mwaka mmoja/miwili au kabla ya mwaka au unaweza usiitwe kabisa.Hakuna formula maalum.Endelea na shughuli zako.
 
DeepState

Member
Apr 23, 2021
13
45

Kuhusu TCRA tayari watu wapo kazini kuanzia mwanzoni mwa 2020,mimi nina jamaa yangu mwenzake alipata hiyo nafasi alitokea tigo.
 
Standards Person

JF-Expert Member
Apr 22, 2021
490
1,000
Mkuu pole.Mambo mengine kujua ni changamoto,wapo waliofanya interview TCRA October 2019 mpaka leo hawajapata majibu.Ivyo kuwa mvumilivu endelea na majukumu yako.
Wengine huwa wanafanyiwa veting na wanaweza wakaita watu usijue,ivyo ikiwa ni bahati yako utaitwa ila nikushauri usipoteze muda wako kufuatilia,wengine wanaitwa baada ya mwaka mmoja/miwili au kabla ya mwaka au unaweza usiitwe kabisa.Hakuna formula maalum.Endelea na shughuli zako.
Majibu ya kiungwana,wewe mkuu ubarikiwe.
Mleta mada sina shaka ameelewa kama mimi nilivyoelewa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom