Vipi leo unaanza kupiga game saa ngapi?

Tupe mrejesho umeitafuna vilivyo?
Mkuu ndio nimeamka now nimechoka ata kibanda changu cha chipsi leo kuna dogo kanishikia deiwaka kweli nimeamini usishindane na ulipotokea.
 
Mkuu ndio nimeamka now nimechoka ata kibanda changu cha chipsi leo kuna dogo kanishikia deiwaka kweli nimeamini usishindane na ulipotokea.
Kibanda chako cha chips kwa siku unaweza kulaza ngapi kama faida?
 
Sasa siri ya nini mkuu..unaweza kukuta nataka niingie huko ndo natafuta data
Faida nzuri tu mkuu sema matumizi na hizo Chura zinazolandalanda ni nomaaaa
 
Zote hizo za nini? Unajiumiza bureeeeeee... Piga kitu cha vumbi la mkongo, bao zako 2 tu za afya moja usiku nyingine alfajiri tosha sana. Maisha yenyewe ya kimitego
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…