Vipi kuhusu tabia za wanawake wa kihehe na wabena?

Vipi kuhusu tabia za wanawake wa kihehe na wabena?

zema21

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
619
Reaction score
257
haya makabila wahehe na wabena wanalandana sana, hata lugha zao zinaendana. Wote wanatoka mkoa wa iringa (kabla haijagawanywa kuwa njombe na iringa) wanajamvi naomba mnaofahamu sifa za wanawake toka huko mtitirike hapa manake nilipokuwa 2nd year chuo nilimpata mmoja..
Alichonifanya nikawachukia wanawake wote wa iringa!
So michango yenu itanisaidia kuondoa hiyo wrong perception au nitaconfirm
 
We endelea kuwachukia tu.
 
ungefunguka alchokufanyia ingekuw better bu2 makabla hyo wanawake ni wajeur sana kwa wapenz wao but sio wote wenye hulka hyo ila ni wazur kwenye mambo fulan na ni watafutaj pia
 
haya makabila wahehe na wabena wanalandana sana, hata lugha zao zinaendana. Wote wanatoka mkoa wa iringa (kabla haijagawanywa kuwa njombe na iringa) wanajamvi naomba mnaofahamu sifa za wanawake toka huko mtitirike hapa manake nilipokuwa 2nd year chuo nilimpata mmoja..
Alichonifanya nikawachukia wanawake wote wa iringa!
So michango yenu itanisaidia kuondoa hiyo wrong perception au nitaconfirm

nene ndeemaa ulijibiwa hivyo.huwezi kumtongoza kirahisi kama makabila mengine.ondoa chuki .wanawake wazuri kitabia
 
jamani mm nilichokiomba ni kwa anayejua tabia zao in-general hayo mengine hayana umuhmu sana great thinker kuweni waelewa
 
Ni wachoyo sana pia ni malaya sana.Uchoyo niliushuhudia kwa shemeji yangu ambaye ni mhehe na umalaya niliushuhudia kwa dada mmoja tulikuwa tunasoma nae University alikuwa anagawa kama pipi, Pia tunafanya kazi na dada mmoja ofisini naye pia anagawa K yake kama maji ya kunywa, yaani ukiomba tu unapewa.
 
mtakesha mkisema tabia zao mbaya mara ohhoo..umalaya ni hulka ya mtu na sio kabila..
 
wanawake wa kibena na kihehe they are good kitabia...tena nakushauri pata mwingine uoe ka bisaaaaaaaaaaaaaaa
 
Akina Segito una wa mind eeenh hahahahahha. siku hizi hakuna kabila baba
 
Ni wachoyo sana pia ni malaya sana.Uchoyo niliushuhudia kwa shemeji yangu ambaye ni mhehe na umalaya niliushuhudia kwa dada mmoja tulikuwa tunasoma nae University alikuwa anagawa kama pipi, Pia tunafanya kazi na dada mmoja ofisini naye pia anagawa K yake kama maji ya kunywa, yaani ukiomba tu unapewa.

si kweli any way ur long and bad perception
 
mimi sio mhehe, ila nilishawahi kufanya kazi iringa na njombe kipindi kirefu zamani. tabia za watu wa iringa, ni kutokukubali kitu kirahisi, ni wabishi sana kuadmit kitu. kwenye suala la mapenzi, haki ya nani hata kama demu wako anaweza kukuzungusha wiki. sio malaya kabisa niseme ukweli, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

kwenye suala la uchoyo, kule wanaamini kuwa, mgeni akija home, lazima afurehie chakula. haijalishi ulikuwa kwenye bajeti au la, we ukifika wanakula hata kama wako katikati nawa maji endeleza libeneke. hakuna atakayekuwa na kinyongo. hata hivyo, wahehe wanatofautiana, kuna wahehe wa upande huu wa mkwawa, na wale wahehe wa upande ule wa milima ya udzungwa. wale wa milima ya udzungwa ni watu wapole na wastaarabu kupita maelezo na ndio wanaotoa sifa kwa wahehe, ila wale wa upande wa mkwawa yaani huku Tanangozi, isimila, kalenga, ifunda hadi mafinga, wako radical kidogo kwasababu hali halisi ya maeneo yale ni kavu hivyo wanategemea ugali tu, chakula kwao ni kitu adimu kama ilivyo mkoa wa singida na dodoma. ila wale wa dabaga etc kuna matunda ya kila aina, mvua inanyesha kupindukia kama Tukuyu hivyo ndizi, matunda mengi, vyakula ni vingi hivyo watu huwa hawamaindi kabisa msosi kama issue ya kuwa wachoyo....wabena ni wachapa kazi kupita maelezo, wanachapa kazi kuliko hata wahehe, wanavumilia maisha magumu ili baadae wapate raha. mwanamke wa kibena ni mzuri sana kuoa, ila wana matambiko na usimfanyie unyama kwasababu anakuwekea tego mtakufa kuanzia mende home kwako, panya, kuku, mbwa, ng'ombe, halafu mnaanza nyie wanadamu mmoja baada ya mwingine na ukoo mzima...mnakwisha...huo ndio uzoefu wangu wa iringa.
 
Ukipata Mbena hata akiwa amelelewa na kukulia mjini kimaadili...oa ni wavumilivu sana na hawana tamaa na wana tabia nzuri sana....na ni wasiri sana!na sio wahuni!wavumilivu kama kondoo!!na wanajisahau kwenda na wakati sababu kuwa wagumu kupindukia...!
 
Wana upole wa kuigiza bt ni wakorofi kinoma, hata kaumalaya wanako kiasi ukibase kimakabila ila siku hizi ndugu akuna cha kabila ni mtu mwenye tu
 
Ni watu wapole,wastaarabu na wachapakazi kiujasiliamali na hata kulima yani ukiwa na nyumba hata kama ni mjini ikiwa na ka uwazi atalima bustani...ila kutokana na mwingiliano wa makabila katika kuoana na hata tabia zinabadilika kulingana na mtu mwenyewe au upande wa familia yaweza kuwa kwa baba au mama so mtoto anarithi
 
Back
Top Bottom