Vipi kuhusu kuapply online

Vipi kuhusu kuapply online

adoclaus

Member
Joined
May 17, 2015
Posts
20
Reaction score
15
Habari huwa natembeleaga sana zoom tz ila tangu nianze kuapply kaz online sijawahi kujibiwa hata moja mwenye kujua process za kuapply kazi online anielekeze kwenye zoom tz lambda Mimi hua nakosea kuapply maana conagi majibu yeyote tangu nianze kuapply online
 
Duh!pole sana mkuu,me huwa nafanya hvi,nkiona zoom wamesema uaply online,naenda direct kwenye kampuni husika ilyotangaza kazi then nawatumia direct kwenye email yao au natuma kwa posta.zoom ni matapeli
 
Duh!pole sana mkuu,me huwa nafanya hvi,nkiona zoom wamesema uaply online,naenda direct kwenye kampuni husika ilyotangaza kazi then nawatumia direct kwenye email yao au natuma kwa posta.zoom ni matapeli

Pamoja sana...I usually used the same tactics....
 
mkuu mm nimepata kazi kupita zoom na sasa nina miezi mitatu, ninafanya kazi peacock hotel. asikudanganye mtu wewe tuma bila kuchoka kwani hata za kutuma posta au kupeleka direct tumeshapeleka nyingi na hatukujibiwa. so wewe appy tu
 
Kweli hizi mambo za online,me nmejarbu kutuma kazi flan ambayo imetangazwa na NMB bank,sasa mwisho wa kuapply ni tar 20 may.ila ukituma email ina fail permanent inaniambia imegoma.hiyo ni ijuma na jumamosi,leo jumatatu nmerejea lile tangazo online halipo.sasa sielewi nini kosa na email yenyewe ni Avert@nmbtz.com.please kama kuna anaeweza nisaidia ntashukuru.
 
Back
Top Bottom