Vipi kuhusu Jairo, Mbona kimya?


Mwita25 ni Msanii tu kama wenzake Wanaotutawala, zaidi usanii alionao ni Msaliti pia, maana anajua jinsi Jairo alivyo-collude na TISS kuhujumu uchaguzi wa 2010 dhidi ya matakwa ya wananchi.
 
we had already seen his colour. he is a crying baby!


Mwita25 ni Msanii tu kama wenzake Wanaotutawala, zaidi usanii alionao ni Msaliti pia, maana anajua jinsi Jairo alivyo-collude na TISS kuhujumu uchaguzi wa 2010 dhidi ya matakwa ya wananchi.
 
chezea serikali ya jakaya wewe ii serikali noma kwani we umesahau ishu ya jakaya mara babu wa loriondo ishu ya nishati sasa posho za wabunge ishu ya gamba lf ishu ya hamad nb seid watanzania tuna sahau inapita iyo.
 
chezea serikali ya jakaya wewe ii serikali noma kwani we umesahau ishu ya jakaya mara babu wa loriondo ishu ya nishati sasa posho za wabunge ishu ya gamba lf ishu ya hamad nb seid watanzania tuna sahau inapita iyo ikija ishu kubwa inatafutwa nyingine ya kupunguza malali mpaka tunasahau.
 
Hata wakinyamaza............... MUNGU MTETEZI WA WANYONGE ..........IKO SIKU ATAINGILIA KATI NA KUTOA ADHABU YAKE..... HATA KAMA YUKO BUSY ANAKULA TU MAHELA YA UFISADI ..............SIKU MOJA ATATAPIKA HIVYO ANAVYOKULA .............

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Jamani mungu anakazi nyingi sasa na hili la Jairo tena akilifanyia kazi tuna kuwa hatutimizi wajibu wetu kwake, Mungu ametupa akili na utashi wa kufanya maamuzi kati ya baya na zuri.
Hili ni suala la JK kufanya maamuzi kutokana na utashi wake.
 
wanataka kutusahaulisha then walimalize kimya kimya this tz msee
 
Hayo ni maamuzi magumu sana,ni lazima kwanza ccm wakae kama kamati kwa muda wa mwezi mzima Dodoma ili kukubaliana kuhusu mwisho wa huyu ndugu
 
Tatizo la Hiki Chama ni kwamba...wanaharibu kila kukicha....hatujasahau moja, wanaturushia kombora lingine. The way I see it, Jairo anaendelea kula raha zake akisubiria kustaafu....cause hakuna wa kumfunga paka kengele! Wote wana dhambi hakuna wa kumtupia Jairo Jiwe
 

Mind you the saga is not for Jairo alone, it involves Cheif Secretary and AG!
Kigugumizi, that is why I love politics
 

Credits to Moi: he taught CCH how to rig elections when Mrema alipokwua hot cake!
Moi: professor of politics!
 

Du huyu mkurya tangu afahamu kiingereza imekuwa nongwa humu JF.
 

Mkuu wewe ndio umeongea ukweli, kama mtanzania anayejua hali halaisi ya nchi yake(hasa linapokuja swala la sheria, haki na taratibu). For sure nothing will happen to him. Kitapigwa Kiswahili lakini tutakaoumia ni sisi watanzania, and life will go on. Hatafanywa kitu chochote. Subiri uone.
 
Huyu jamaa inaonekana alitumika saana tu halafu akapigwa chini,make huwezi kuitetea ccm leo na kesho ukaiponda.
Vipi mkuu CCM wamevunja makubaliano mliyokubaliana!!? i can't beleive if this is Mwita 25 i use to know!!
 

This account has been hacked!
 
Wameiteka ajenda ya posho kusahaulisha Jairo saga!!JK naona anajuta kwa nini alitumia nguvu nyingi na pesa tele kuutaka urais...sasa nchi inamshinda na inayumba!!ole wao aje apate Pres ambaye atafukua kila jiwe....
 

Mimi hii misemo yenu ya bahati na sibu inanikera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…