Vipi kuhusu hii bodi ya mikopo 2016

Vipi kuhusu hii bodi ya mikopo 2016

Heslb bado hawajafungua dirisha la kupokea maombi ni vema kupitia website yao na sio kusikiliza maneno ya kuambiwa.....
 
kwan shida i wap? mkopo c kwa wewe tu uliemaliza form six kuna wengne pia wataanza kuapply pindi matokeo yatakapotoka na form six leaver wanaanza kuapply maana kufkia mwishon mwa mwez wa sita matokeo yatakuwa tayari.
 
namba za bodi hizi hapa: 0763459165 & 0754373481 wapigieni na nyie wenzangu tusikie wanasemaje kuhusu application za mikopo maana mwaka huu wamechelewesha na vijana wanatakiwa kwenda JKT kuanzia tarehe 1-5 june.
 
Back
Top Bottom