Vipi kuhusu Bango la Chama cha Walimu?

mtunzasiri

JF-Expert Member
Dec 24, 2012
1,446
985
Kuna mambo mengi sana yanasemwa kuhusu changamoto za walimu na taaluma yao, lakini kuna hili la Bango kwenye jengo la ghorofa Ilala hivi walimu mmeshindwa kabisa hata kukarabati hilo bango tuu la Jengo hilo?
Picsart_23-06-05_23-29-09-555.jpg
 
Back
Top Bottom