Vipi kuandika wosia kabla ya kupanda mabasi?

Vipi kuandika wosia kabla ya kupanda mabasi?

Lupaya

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
248
Reaction score
93
Nionavyo imefika wakati kwa watu wa jamii ya jay milions kuandika wosia kabla ya kupanda mabasi. Wakati ndio unaongeo hivyo kutokana na ajari zinazoshudiwa kila leo. Ajari zinatokea kila siku na kibaya zaidi hatusikii juhudi zozote za maksudi za kupunguza ajari hizi. Nimuhimu kuandika wosia ili unapoanza safari usiwe na wasiwasi wa kuacha ugomvi nyuma kama safari haitakamilika.
 
Mabasi ya Tanzania kwakweli yanaogopesha sasahivi....labda tupande malori ya nyanya na mbao
 
hahaha kwli kabisa ni kuandik wosia kbs na ikiwezekan unachukua pesa kiasi atm kadi inabaki home maan ni shiiiiidaa....
 
Yaani hata hamu ya kusafiri imeisha, mtu unashindwa kusafiri kwa ajili ya wasiwasi tu wa hizi ajali. inasikitisha sana
 
Nionavyo imefika wakati kwa watu wa jamii ya jay milions kuandika wosia kabla ya kupanda mabasi. Wakati ndio unaongeo hivyo kutokana na ajari zinazoshudiwa kila leo. Ajari zinatokea kila siku na kibaya zaidi hatusikii juhudi zozote za maksudi za kupunguza ajari hizi. Nimuhimu kuandika wosia ili unapoanza safari usiwe na wasiwasi wa kuacha ugomvi nyuma kama safari haitakamilika.

Hili andiko lako Ndugu yangu (Babu ki ukoo),amelitekeleza wiki iliyopita kama masihara vile lakini kweli kwa kuwa yeye ni mtu wa Safari kila kukicha... Kaandika na kugawa nakala kwa anaowaamini incase anything happens
 
Back
Top Bottom