Life is very fair my darling. wanadamu (wengi wanaume sisi) ndo hatuko fair. İmagine kidume kina maex 30 wote walikuwa wakiaminishwa wataolewa.... Afadhali yangu mi nnao watano tu, na hakuna nayemkumbuka kiviiile LOL
ish!
mi mwenzio special case!
hahahahhahaha enzi za special diet unazikumbuka?
by ze wei hiv hamnaga kiporo cha icecream?
..mkuu umesema maneno kuntu, japo kwangu haitokei kwa kumpenda ex, bali kwa sababu game yake niliipenda, lazma uvute hisia...!!
Nami ndo nakuuliza, wakati anavuta hisia kwa x wewe utajuaje? na kama hujui we si uendelee kukata mauno upate laha na utyamu?
Hahahah duuuuh...
Mahawara hawaachani shehe. ma x wangu wote, nikinyanyua simu tu, tunapanga tukutane gesti ipi. ndo maana mi staki kuwajua ma x wa mama matesha wangu. sipendi dhambi ya mauaji.
unawajua Klones?
babu unanivunja mbavu kweli.... Utakuta bint wa watu anahangaika kuzungusha nyonga kumbe maskin ww akili inahisi ni ex wako jaman
mmh! Huo mlomo huo!.... Kuna kipindi cha kukubali matokeo kama hivi:
unajua kabisa kuwa unayempenda huwezi kumpata tena ila unatakaiwa uwe na mke na utengeneze familia utalazmisha kumwonyesha upendo yule unayetaka kumwoa japo sio kama ule wa ex ili mradi aman iwepo ndan ya nyumba
Nami ndo nakuuliza, wakati anavuta hisia kwa x wewe utajuaje? na kama hujui we si uendelee kukata mauno upate laha na utyamu?
Wanaume mmeamua kufunguka. mtawaua hawa wadada wanaosoma hapa. wana wivu hao
..mkuu umesema maneno kuntu, japo kwangu haitokei kwa kumpenda ex, bali kwa sababu game yake niliipenda, lazma uvute hisia...!!
Umejuaje? Yan mimi hapa nahisi kufa.....ngoja nilogout kwanza
Nimekuwa fair eh?