Vipi kama ex aki ......!!

wanaume jmn mpunguze hasira..ona sasa majuto,keshaolewa huko lakn moyo ukute upo huku
 
wanaume jmn mpunguze hasira..ona sasa majuto,keshaolewa huko lakn moyo ukute upo huku

Utafiti nilioufanya mwenyewe umethibitisha zaidi ya asilimia 80 ya ndoa, ni ndoa za wanandoa ambao hawajapendana upendo wa moyoni.

Hii kitu wife/husband material inawalazimisha watu waoe wasiowapenda kwa dhati.... wakijiaminisha watajifunza kupenda.... michepuko itakwepeka?

Ukiona wanandoa wamehamishia mapenzi yao kwa watoto zaidi ya wenza wao, jiulize na ujijibu.

Nimesema mimi ODM.
 
Nikigundua mwanaume anamlilia x kiasi hiki nakaa mbali nae kabisaaa
 
Hata kama sio X watu wanachepuka na pete zao mikononi... Itakuwa X? Tena mliachana bila ugomvi? Hapo ni muendelezo wa kuchepuka tuu labda umuone huyo X hana viwango vya ubora. Lakini umkute ni mtu katulia na mvuto upo kumegana kupo pale pale. Haya mambo yakikukuta ndio utajua kuwa hakuna kitu kinaitwa uaminifu wala mapenzi ya kweli..especially bongo.
 
Maskini badiebey. mijamaa utakuta ilikuwa ina aleji ya kukata kucha.

hahahahahahaahahahahaha
wallahi mama matesha Sr
bora angekuzaa ukiwa mbudhi ungesaidia kufanya awe na mgomba matata mengeleni!
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahaahahahahaha
wallahi mama matesha Sr
bora angekuzaa ukiwa mbudhi ungesaidia kufanya awe na mgomba matata mengeleni!

Mwenyewe anajifagilia amejitotolea bonge la kidume. Lina watoto watano kwa wamama watatu LOL
 
Nikigundua mwanaume anamlilia x kiasi hiki nakaa mbali nae kabisaaa

Bahati mbaya wanaowalilia huwa hawawalilii tukiona!
wanawalilia kwa mapishi yetu
wanawalilia kwa swaga zetu kitandani
wanawalilia kwa maumbo yetu
wanawalilia kwa tunavyodeal na emotions zetu
wanawalilia kwa mitazamo yetu!
basi mradi raaaaha tu kudate watu wasio na uwezo wa kuapdate kama sio kuconfigure RAM zao!
 
Aiseeee....Sasa mimi ntabaki kushindana na mtu ambaye simuoni nitaweza? Nitaimprove my standards kulingana na mahitaji ninayoyaona hayo mengine kuchoshana tu
 
bila shaka huwa mnajikumbushia mdogomdogo.

nakiri kufanya dhambi ya kutembea na mke wa mtu. Moyo unaniuma sana nahsi kama jamaa ndio mwiz ila mm n mme halali
 
duh......
 
wanaume jmn mpunguze hasira..ona sasa majuto,keshaolewa huko lakn moyo ukute upo huku

ndio hvyo wakat nachukua maamuzi nilijua niko sahihi lakn sasa ndio najua kuwa nilikuwa nmekosea sana
 
nakiri kufanya dhambi ya kutembea na mke wa mtu. Moyo unaniuma sana nahsi kama jamaa ndio mwiz ila mm n mme halali

Hahhaha nilijua tu. Afu unaweza kuta wakati jamaa linammega, mama anavuta hisia zako.

İla nakushauri., sahau yaliyopita kaa mbali na mke wa mtu. Hatareee
 
Aiseeee....Sasa mimi ntabaki kushindana na mtu ambaye simuoni nitaweza? Nitaimprove my standards kulingana na mahitaji ninayoyaona hayo mengine kuchoshana tu

na wewe c umsimulie ulivopagawishwa na basha wako ngoma iwe droo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…