Hapana mkuu sijatonesha bali najaribu kuwafanya kukumbuka na hatimae kusahauyani umekuja kutonesha ndugu, before huyu wa sasa, uwa namkumbuka sana na mpaka nasema sijui nivunje ila najipa jibu kuwa kila na jambo na wakati wake, wacha nimpende huyu niliye nae sasa.
Mkuu sijakuelewa!
Sina ex ambaye natamani au najutia kumpoteza. Nilijisikia vizuri kipindi hicho, tulimalizana vizuri, japo wengine ilichukua mda kumalizana, lakini sijutii..!!
...labda niseme tu kuwa haya ni madhara ya kuwa na ex wengi, huoni tofauti. Ninachojuta ni kujiingiza kwenye malove kabla ya ndoa..
Pole ....
Inaonekana una hasira sana,unamjua babu ODM a.k.a Asprin ?
Ni bingwa wa kuondoa hasira,hebu mtafute halafu utaona hasira zinavyoondoka kama mshumaa kwenye moto!