Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,449
- 574
Na kweli mtu anaye soma hili Tangazo na kulitii atakuwa anamatatizo ya ubongo
Tangazo wala halisemi wakishafika ikulu wafanye nini....
Tangazo wala halisemi wakishafika ikulu wafanye nini....
eti pilice waliingia na viatu msikitini, kiswali kiatu au nafsi ya mtu? teh teh
Nia ni kuleta kero tu, wanajua wasingeweza kufika ikulu.Tangazo wala halisemi wakishafika ikulu wafanye nini....
Kuvamia nini?Wakishafika Ikulu ni kuruka ukuta na kuvamia