Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,671
- Thread starter
-
- #2,521
With a fake and manufactured clkey? !That's why I told you "we were in privacy.
Barikiwa kaka mkubwa !Episode mpya tayari wakuu! Post [HASHTAG]#2517[/HASHTAG]
Nifah naomba unisidie kutag wanabodi
Mods, naomba mnisaidie kuweka link ya episode 8 pale mwanzoni juu post # 1
Maxence Melo, JamiiForums, Mod 1, Mod 2, Mod 3, Mod 4, Mod 5
Jamaa kachoka mpaka huruma.Mwanaume hupaswi kujiliza liza hivyo eboooo
On your chest? Hivi ulilala saa ngapi mpaka unaota hizi ndoto?With a fake and manufactured clkey? !
She is on my chest now, biting me with her lips..
Asante mkuu nimeshasom.....nimependa hapo kwenye i love you ya vidole imenikumbusha enzi zetu tunaandika kwa namba 143 yaani 1 - I 4 - Love and 3 - You hahahaha those daysEpisode mpya tayari wakuu! Post [HASHTAG]#2517[/HASHTAG]
Nifah naomba unisidie kutag wanabodi
Mods, naomba mnisaidie kuweka link ya episode 8 pale mwanzoni juu post # 1
Maxence Melo, JamiiForums, Mod 1, Mod 2, Mod 3, Mod 4, Mod 5
Mtt mzur cheupeAisee nilikuwa najiuliza utaingiaje jela kumbe ulikuwa na plan yako nzuri tu,
Nimesisimkwa kama mm ndo namuaga mtoto mzuri cheupe naingia kuzoa mtondoo maana ukiingia mle siku ya kwanza lazima uwe mnyonge ila mwenzetu una bahati coz umepata cell ambayo nyapara ni chalii ,,
Thanks man usiku wangu utakuwa mzuri leo,
Nichukue fursa hii kuwaaga member wote wa humu hasa hasa wana UKAWA waliojiunga kunipindua, bold na mkewe,
And the last goes to ma bebe Clkey,
USIKU MWEMA
Hahahahah pressure inapanda na kushuka kwa RayCheupe atakua alilala na Isaac.
Hata nahisi hvyo, yy si kajipeleka gerezan wacha Isack arithiCheupe atakua alilala na Isaac.
Mai dada mm nmejaribu kukunja hvyo vidole kwani hata naelewa ssAsante mkuu nimeshasom.....nimependa hapo kwenye i love you ya vidole imenikumbusha enzi zetu tunaandika kwa namba 143 yaani 1 - I 4 - Love and 3 - You hahahaha those days