Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Aisee nilikuwa najiuliza utaingiaje jela kumbe ulikuwa na plan yako nzuri tu,
Nimesisimkwa kama mm ndo namuaga mtoto mzuri cheupe naingia kuzoa mtondoo maana ukiingia mle siku ya kwanza lazima uwe mnyonge ila mwenzetu una bahati coz umepata cell ambayo nyapara ni chalii ,,
Thanks man usiku wangu utakuwa mzuri leo,
Nichukue fursa hii kuwaaga member wote wa humu hasa hasa wana UKAWA waliojiunga kunipindua, bold na mkewe,
And the last goes to ma bebe Clkey,
USIKU MWEMA
 
Episode mpya tayari wakuu! Post [HASHTAG]#2517[/HASHTAG]

Nifah naomba unisidie kutag wanabodi

Mods, naomba mnisaidie kuweka link ya episode 8 pale mwanzoni juu post # 1
Maxence Melo, JamiiForums, Mod 1, Mod 2, Mod 3, Mod 4, Mod 5
Asante mkuu nimeshasom.....nimependa hapo kwenye i love you ya vidole imenikumbusha enzi zetu tunaandika kwa namba 143 yaani 1 - I 4 - Love and 3 - You hahahaha those days
 
Aisee nilikuwa najiuliza utaingiaje jela kumbe ulikuwa na plan yako nzuri tu,
Nimesisimkwa kama mm ndo namuaga mtoto mzuri cheupe naingia kuzoa mtondoo maana ukiingia mle siku ya kwanza lazima uwe mnyonge ila mwenzetu una bahati coz umepata cell ambayo nyapara ni chalii ,,
Thanks man usiku wangu utakuwa mzuri leo,
Nichukue fursa hii kuwaaga member wote wa humu hasa hasa wana UKAWA waliojiunga kunipindua, bold na mkewe,
And the last goes to ma bebe Clkey,
USIKU MWEMA
Mtt mzur cheupe
Haya mai swthati lala salama
 
Asante mkuu nimeshasom.....nimependa hapo kwenye i love you ya vidole imenikumbusha enzi zetu tunaandika kwa namba 143 yaani 1 - I 4 - Love and 3 - You hahahaha those days
Mai dada mm nmejaribu kukunja hvyo vidole kwani hata naelewa ss
 
Similar Discussions

114 Reactions
Reply
Back
Top Bottom