Vipengele vya Katiba vinavyompa kiburi Rais

Yaani.....inasikitisha sana
 
Kuna mama mmoja nilimsikia anasema watu wakiulizwa vifungu gani vya Katiba vibadilishwe wanasema hawajui!!? Sasa wewe umejuaje au utakuwa Mwalimu wetu wakati tunasoma miaka 3?
ccm wanataka tusome degree ya katiba wakati vifungu viko wazi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…