Vipengele vya Katiba vinavyompa kiburi Rais

Hii ni Katiba ya CCM. Na ilitengenezwa kwa ajili ya kuilinda CCM na watu wake. Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hii Katiba ya 1977 ina manufaa yoyote yale kwa Taifa la Tanzania.
 
Hivi mnaona Samia ni mjinga sana kiasi avifute hivi vifungu na hapo hapo aingie kuomba kura? Je, ungekuwa wewe ni Rais ungekubali kuvifuta ili ubamizwe?
 
Katiba haina shida.....

Hivyo ilivyo ndio usalama wetu[emoji120]

Kumshtaki Rais ni hatari sana....

Ona ilivyo Afrika ya Kusini.....ukiacha Mandela hakuna mwingine aliyepona.....
Rais sio nchi, huoni Marais wanatolewa madarakani huki SA na bado nchi Yao Iko stable? Huo ni ushahidi wa katiba Bora.
 
Sasa tueleze Nyerere alivyoitunga alikuwa ana mawazo yepi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…