Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 752
- 939
Mkuu, hata wewe ungekuwa kiongozi usingependa kuona kuna katiba itakayokubana. Au nasema uongo ndugu zangu?Vipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama & ibara 74(12) inayokataza Tume ya Uchaguzi (NEC) kufikishwa mahakamani.
Kinachofanyika ni kwamba, Rais anatoa MAAGIZO kwa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi WAMPENDELEE yeye na chama chake, NEC itatekeleza AGIZO. Ukitaka kumuadhibu Rais huwezi, ibara 46(1) inamkinga, humgusi kabisa! Ukitaka kuiadhibu NEC, huwezi, ibara 74(12) inaipa ULINZI, NEC haigusiki. Ukitaka kwenda mahakamani KUPINGA matokeo kwamba Rais ameiba uchaguzi, pia huwezi, ib 41(7) INAKATAZA – yaani matokeo yakoshatangazwa ngoma imeisha, hata kama una USHAHIDI umeshinda wewe.
Yaani, NEC inaweza panda juu ya mlima na kumtanga mtu ameshinda Urais, basi tunasubiri tena miaka 5 mingine.
Halafu kuna WAHUNI wanasema Katiba haina shida yoyote ile!
Hapa kwa kweli raia tumebakwa!Vipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama & ibara 74(12) inayokataza Tume ya Uchaguzi (NEC) kufikishwa mahakamani.
Kinachofanyika ni kwamba, Rais anatoa MAAGIZO kwa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi WAMPENDELEE yeye na chama chake, NEC itatekeleza AGIZO. Ukitaka kumuadhibu Rais huwezi, ibara 46(1) inamkinga, humgusi kabisa! Ukitaka kuiadhibu NEC, huwezi, ibara 74(12) inaipa ULINZI, NEC haigusiki. Ukitaka kwenda mahakamani KUPINGA matokeo kwamba Rais ameiba uchaguzi, pia huwezi, ib 41(7) INAKATAZA – yaani matokeo yakoshatangazwa ngoma imeisha, hata kama una USHAHIDI umeshinda wewe.
Yaani, NEC inaweza panda juu ya mlima na kumtanga mtu ameshinda Urais, basi tunasubiri tena miaka 5 mingine.
Halafu kuna WAHUNI wanasema Katiba haina shida yoyote ile!
Kwa wenye akili wanaelewa kinachoendelea ndio maan wanaipenda katiba iliyopo!!Vipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama & ibara 74(12) inayokataza Tume ya Uchaguzi (NEC) kufikishwa mahakamani.
Kinachofanyika ni kwamba, Rais anatoa MAAGIZO kwa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi WAMPENDELEE yeye na chama chake, NEC itatekeleza AGIZO. Ukitaka kumuadhibu Rais huwezi, ibara 46(1) inamkinga, humgusi kabisa! Ukitaka kuiadhibu NEC, huwezi, ibara 74(12) inaipa ULINZI, NEC haigusiki. Ukitaka kwenda mahakamani KUPINGA matokeo kwamba Rais ameiba uchaguzi, pia huwezi, ib 41(7) INAKATAZA – yaani matokeo yakoshatangazwa ngoma imeisha, hata kama una USHAHIDI umeshinda wewe.
Yaani, NEC inaweza panda juu ya mlima na kumtanga mtu ameshinda Urais, basi tunasubiri tena miaka 5 mingine.
Halafu kuna WAHUNI wanasema Katiba haina shida yoyote ile!
Hapo ndo umasikini wa nchi hii unapoanzia na chimbuko la pambio, uchawa na nyimbo za kusifu,,kudumaa kwa kila kitu umejengwa hapoKwa wenye akili wanaelewa kinachoendelea ndio maan wanaipenda katiba iliyopo!!
Bila Vipengele hivi vya Katiba ya 1977 kurekebishwa, BORA UCHAGUZI USIFANYIKE, CCM waendelee Kutawala kama wanavyotaka, HADI HAPO KATIBA MPYA ITAKAPO PATIKANA.Hapa kwa kweli raia tumebakwa!
Viongozi wa vyama pinzani vya siasa, na watanzania wote kwa jumla tutakuwa wajinga Kama tutaendelea kukubali kuingia kwenye uchaguzi bila Mambo hayo kurekebishwa, Leo hata kungekua na ushindi wa kura kwa chama pinzani bado hawawezi kutangazwa washindiMkuu, hata wewe ungekuwa kiongozi usingependa kuona kuna katiba itakayokubana. Au nasema uongo ndugu zangu?
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Wameshindwa kujua tutapata nini kwenye mkataba,wataweza kufundisha katiba?
Kuna mama mmoja nilimsikia anasema watu wakiulizwa vifungu gani vya Katiba vibadilishwe wanasema hawajui!!? Sasa wewe umejuaje au utakuwa Mwalimu wetu wakati tunasoma miaka 3?Vipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama & ibara 74(12) inayokataza Tume ya Uchaguzi (NEC) kufikishwa mahakamani.
Kinachofanyika ni kwamba, Rais anatoa MAAGIZO kwa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi WAMPENDELEE yeye na chama chake, NEC itatekeleza AGIZO. Ukitaka kumuadhibu Rais huwezi, ibara 46(1) inamkinga, humgusi kabisa! Ukitaka kuiadhibu NEC, huwezi, ibara 74(12) inaipa ULINZI, NEC haigusiki. Ukitaka kwenda mahakamani KUPINGA matokeo kwamba Rais ameiba uchaguzi, pia huwezi, ib 41(7) INAKATAZA – yaani matokeo yakoshatangazwa ngoma imeisha, hata kama una USHAHIDI umeshinda wewe.
Yaani, NEC inaweza panda juu ya mlima na kumtanga mtu ameshinda Urais, basi tunasubiri tena miaka 5 mingine.
Halafu kuna WAHUNI wanasema Katiba haina shida yoyote ile!
Kwa hiyo wewe ni Mzee Mwinyi, Kikwete au samia?Katiba haina shida.....
Hivyo ilivyo ndio usalama wetu[emoji120]
Kumshtaki Rais ni hatari sana....
Ona ilivyo Afrika ya Kusini.....ukiacha Mandela hakuna mwingine aliyepona.....
Jumuiya ya kimataifa inakuhusu nn wewe?!!!Bila Vipengele hivi vya Katiba ya 1977 kurekebishwa, BORA UCHAGUZI USIFANYIKE, CCM waendelee Kutawala kama wanavyotaka, HADI HAPO KATIBA MPYA ITAKAPO PATIKANA.
Jumuiya ya Kimataifa IJUE HIVYO, na
Wananchi WAJUE NINI CHA KUFANYA ili Mabadiliko ya Kweli yapatikane.
Suseni....sisi TUTASHIRIKI chaguzi.....Viongozi wa vyama pinzani vya siasa, na watanzania wote kwa jumla tutakuwa wajinga Kama tutaendelea kukubali kuingia kwenye uchaguzi bila Mambo hayo kurekebishwa, Leo hata kungekua na ushindi wa kura kwa chama pinzani bado hawawezi kutangazwa washindi
Wanaosema katiba haina shida ni WAPUMBAVUVipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama & ibara 74(12) inayokataza Tume ya Uchaguzi (NEC) kufikishwa mahakamani.
Kinachofanyika ni kwamba, Rais anatoa MAAGIZO kwa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi WAMPENDELEE yeye na chama chake, NEC itatekeleza AGIZO. Ukitaka kumuadhibu Rais huwezi, ibara 46(1) inamkinga, humgusi kabisa! Ukitaka kuiadhibu NEC, huwezi, ibara 74(12) inaipa ULINZI, NEC haigusiki. Ukitaka kwenda mahakamani KUPINGA matokeo kwamba Rais ameiba uchaguzi, pia huwezi, ib 41(7) INAKATAZA – yaani matokeo yakoshatangazwa ngoma imeisha, hata kama una USHAHIDI umeshinda wewe.
Yaani, NEC inaweza panda juu ya mlima na kumtanga mtu ameshinda Urais, basi tunasubiri tena miaka 5 mingine.
Halafu kuna WAHUNI wanasema Katiba haina shida yoyote ile!
Sheria zinaenda kubadilishwa Ili kupinga matokeo Mahakamani ikiwemo hivyo vipengeleVipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama & ibara 74(12) inayokataza Tume ya Uchaguzi (NEC) kufikishwa mahakamani.

Nakazia