Vipengele vya katiba ambavyo Magufuli

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
17,668
Reaction score
13,281
Kibaya zaidi magufuli ameshajua utamu wa hiki kipendele cha kutokushitaki rais akiwa madarakani. Atakitumia ipasavyo!!
Hapo tayari ameshawalazimisha wanasheria wasaini mikataba ya bormberdier na wala hatapeleka bungeni ijadiliwe. Ameshawalazimisha tayari wanasheria wasaini mkataba wa ujenzi wa chato international airport na hawezi kupeleka sheria husika ipitiwe bungeni na akili kubwa za upinzani.....
Magufuli hawezi kuleta katiba ya wananchi ile ya warioba ya kupunguza madaraka ya rais na kuondoa kinga ya rais na matokeo ya U urais kutokupingwa mahakamani maana tayari ameingia madarakani akiogelewa kwenye utamu wa hivyo vipengele.
Watz wanaoweza kumshangaa akifanya hivo ni ccm wanaoliroga taifa hili kwa miaka 50 sasa.
 
Huo ni ukweli; mbona hadi sasa ni trailer tu movies zake hazijaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…