vipele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vipele

Discussion in 'JF Doctor' started by mkonowapaka, Aug 2, 2011.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  kuna vipele vimenitokea sehemu ya makalioni...vimekaa mithili ya 'shilingi'..kwa mnaofahamu,,nikivigusa vinatoa maji..na wkat fulani panawaka moto ivi...au kuuma in other words..inaweza kuwa ni infection au ni ugonjwa gani labda kabla sijaenda kuonana na wataalam..asanteni
   
 2. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  jaribu kumwona daktari huenda una infection maeneo ya tiGO au Vodacom service. Ila pole sana.
   
 3. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  haviko kwenye maeneo hayo ya mitandao....kwa juu i mean nikikiaa nakua kama nimevikalia ivi,,,hop unapata picha
   
 4. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  ingia google tafuta kitu inaitwa herpes...hii ni kati ya magonjwa ya sehemu za siri/ zinaa ila inatibika...pole sana ila mie sio dr.. niliisoma hukoooo nilikokuelekeza... ukimaliza nenda sipitali kamwone daktari...kama nakuona vile...ukute nawe ni demu inshallaaah mnyaazi mungu kakujaaaalia uwani kunapendeza kisha dokta ndio mie full mi-udenda nitakutibu siku nzima mpaka wagonjwa wengine waandamane kupinga huduma utayopata... AHHAHAAAA JUST KIDDING
   
Loading...