Tumia Arabian queen soon vitaisha, sema andaa 25 elfu utasahau chunusiJamani ...mi huwa natoka vipele mara kwa mara usoni na sivipendi kama nini..ngozi yangu ni ya mafuta na huwa natumia sabuni za kawaida tu...naombeni ushauri nitumie nini ili niondokne navyo...!!!
Inapatikana wapiTumia Arabian queen soon vitaisha, sema andaa 25 elfu utasahau chunusi
mommy..mi ni wa kiume, zitanifaa kweli hizo??Mimi pia nilikua na tatizo hilo hilo, vipelw vya mara kwa mara usoni, na uso wangu una mafuta, saivi natumia sabuni inaitwa Maxi-tone complexion clarity, cleanser ya Clear-N-Smooth na mafuta ya Clear-N-Smooth Maxi Britener. Saivi uso wangu umekuwa hauna doa hata moja much less chunusi.
Utapata hizi products original at SH Amon. U can try and thank me later
Zitakufaa, tumia hiyo cleanser na mafuta. Yanatumika kwa both wanawake na wanaume. Hayachubui wala. Trust me, ni American product, nenda hapo SH Amon ndo utapata originalmommy..mi ni wa kiume, zitanifaa kweli hizo??
Too much know. Madaktari ya JF mnanifurahishagaTumia product za zoazoa
Good luck . Ulete mrejeshosawa
nitayatafuta nijaribu...
vikiongezeka utajuwaje???Tumia Arabian queen soon vitaisha, sema andaa 25 elfu utasahau chunusi
Pole sana kwa tatizo lako, lakini unaweza wasiliana nami kwa simu namba 0672416294 nikakuonyesha bidhaa sahihi kwa ngozi yako kutoka kwenye kampuni ya Oriflame.. Matokeo yake utayapenda.. KaribuMimi pia nilikua na tatizo hilo hilo, vipelw vya mara kwa mara usoni, na uso wangu una mafuta, saivi natumia sabuni inaitwa Maxi-tone complexion clarity, cleanser ya Clear-N-Smooth na mafuta ya Clear-N-Smooth Maxi Britener. Saivi uso wangu umekuwa hauna doa hata moja much less chunusi.
Utapata hizi products original at SH Amon. U can try and thank me later
<br />Pole sana kwa tatizo lako, lakini unaweza wasiliana nami kwa simu namba 0672416294 nikakuonyesha bidhaa sahihi kwa ngozi yako kutoka kwenye kampuni ya Oriflame.. Matokeo yake utayapenda.. Karibu[/QUOTE][quote uid=333828 name="mommythebest" post=20063346]Mimi pia nilikua na tatizo hilo hilo, vipelw vya mara kwa mara usoni, na uso wangu una mafuta, saivi natumia sabuni inaitwa Maxi-tone complexion clarity, cleanser ya Clear-N-Smooth na mafuta ya Clear-N-Smooth Maxi Britener. Saivi uso wangu umekuwa hauna doa hata moja much less chunusi. <br />Utapata hizi products original at SH Amon. U can try and thank me later